info
Naitwa Faustine Mwamlima ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania ninapatikana EAGT Musoma Mjini kwa Mchungaji Moses Zephania. Nimeanza huduma ya uimbaji nikiwa Mbeya nilifanikiwa kurecord audio ya kwanza yenyeNyimbo 8 chini ya producer GEHAZI MASIKA iliyotamba kwa jina la "WOKOVU NI MATENDO WALA SI MAHUDHURIO" mwaka 2016 .Nakuzinduliwa tarehe 11/06/2017 katika kanisa la EAGT Musoma Mjini kwa Mchungaji Moses Zephania.
Pamoja na changamoto kubwa ninazokutana nazo katika huduma hii bado sikati tamaa.Mwaka 16/11/207 nimejitahidi kwenda Kenya kwaajili ya kurecord Album ya pili yenye nyimbo 6 katika studio ya PROPHECY PRODUCTION chini ya Producer DENNIS ONYAMO ambayo inakuja kwa jina la "UWAGUSE BABA WACHA WAKUONE". Nashukuru kwa maombi ya wachungaji na wadau wangu wote wa nyimbo zangu Maana bila maombi yao nisingeweza kufika hapa nilipo .Unaweza kuwwsiliana nami kwa maoni na ushauri kwa simu no:
+255757052730 whatsap no.
+255675624432
connection